Jump to content

Visa

From Wikimania 2014 • London, United Kingdom
This page is a translated version of the page Visas and the translation is 95% complete.
File:UK General Visitor Visa (C).jpg
UK visa document (sample)


Je nina hitaji Visa

Kama unasafiri kutoka nje ya Jumuiya ya Ulaya, ni kama utahitaji visa. Tafadhali angalia Visas/Inchi husika

Nahitaji visa ya aina gani?

kama unahitaji visa, a "mtalii" visa inakuwezesha kuhudhuria na kushiriki katika mkutano wa Wikimania.tafadhali angalia hapa chini nyaraka zinazo ekeza namna ya upatikanaji wa visa ya UK. maombi yanaweza kuwasilishwa ndani ya miezi mitatu kabla ya safari.

Kumbuka kwamba kama unasafiri kupitia nchi zingine kama marekani an nchi za jumuiya ya Ulaya

https://wikimedia.org.uk/wiki/File:UK_Visitor_Application_Guide.pdf
.omba kupitia https://www.gov.uk/apply-uk-visa.

Nyaraka za kuambatanisha

Kumbuka, maombi yako ya visa yatafanikiwa ikiwa utawasilisha nyaraka kama vile:

.taarifa ya usafiri ya kwenda na kurudi

sababu za safari yako

.Uthibitisho wa taarifa ya ushiriki wa mkutano

. ushahidi wa namna ambavyo utaweza kukidhi hali ya kifedha kwa muda wote utakao kuwa katika nchi ya UK

.Ushahidi wa ajira au weledi katika nchi yako

Tafadhari angalia nyaraka hapo chini ambazo zitakusaidia katika maombi yako

Wikimedia Foundation Form 990 (Tax return 2012/13)

Wikimedia UK Annual Report 2012/13

Na kwa kumbukumbu za haraka

Maelezo ya Hoteli:

Thistle City Barbican Hotel,
Central St,
Clerkenwell,
London,
EC1V 8DS

Tel: 0871 376 9004

Maelezo ya ukumbi:

The Barbican Centre,
Silk St,
London,
EC2Y 8DS

Tel: 020 7638 4141

Ni kiambatanisho gani kutoka Wikimania kitakachoniwezesha maombi yangu kukubalika?

  • Kama una kuja kushiriki mkutano wa Wikimania 2014 na unahitaji visa, shirika la Wikimedia la UK linaweza kukupatia barua ya kuasaidia maombi yako ya Visa. ila kumbuka kwamba pamoja na kukupa barua Wikimedia haiwezi kusimamia mchakato wa maombi ya viza.
  • Kama unahitaji barua ya kuambatanisha, tafadhari tuma barua pepe.
  • Kwa wale waliopata udhamini wa WMF ambao watahiji visa, tafadhari eleza katika maombi yako kwamba wewe umepata udhamini.